Hii ni Njia Rahisi ya Kukuepusha na Hangover Baada ya Kunywa Pombe. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii ni Njia Rahisi ya Kukuepusha na Hangover Baada ya Kunywa Pombe.

Moja kati ya vinywaji ambavyo watu wengi hupenda kuvitumia ama kwa hakika bia nayo Imoooo au siyo, sasa Watu wengi wamekuwa wakinywa Pombe huamka wakiwa na Hangover (Mning'inio wa ziada) Ile hali ya Kuumwa kichwa na Uchovu na vitu vya aina hiyo.

Umewahi kujiuliza dawa ya kuondoa mning'inio huu wa ziada ? Basi tupo kwa ajili ya kukupa hili, ni kwamba ili uondoe hali hii inakubidi Kila unapomaliza chupa moja ya Bia unakunywa na Glasi moja ya maji ya Kunywa.

Ukifanya Hivi kulingana na Tafiti za kitaalamu huwezi kuamka umechoka wala kuumwa kichwa wala kujisikia vibaya hali ambayo hutokana na bia au Pombe.

Unataka maujanja kibao kila siku ? Bofya Hapa Kupata App yetu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.