Hii Ndio Maana ya Urembo Kutoka Kwa Miss Tanzania 2016 Diana Edward. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndio Maana ya Urembo Kutoka Kwa Miss Tanzania 2016 Diana Edward.

Miss Tanzania 2016/2017 Diana Edward Loi Lukumay ameamua kuweka post kwenye mtandao wa Instagram kuandika maana ya urembo kwake anavyo utafsiri.

Wengi wamekuwa wakitafakari juu ya urembo kuwa ni kua na makeup nyingi na kuvaa nguo za gharama.

Ila Diana ameandika kuwa “The best definition of beauty is being natural” akimaanisha “Tafsiri nzuri ya urembo nikuwa asili”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.