England Vs Spain Yatoka Suluhu 2 - 2 , Vardy Akata Kiu Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

England Vs Spain Yatoka Suluhu 2 - 2 , Vardy Akata Kiu Yake.

Usiku wa kuamkia leo jiji la uingereza umepigwa mtanange mkali kwenye uwanja wa kitajiri wa Wembley Stadium, uliozikutanisha timu mbili zenye historia kubwa ya soka.
Engalnd imekutana na Spain usiku wa leo kwenye jiji la Wembley.Jambo la kushangaza leo England imecheza mpira mzuri sana tofauti na mechi zingine za awali za mwaka huu, hali iliyopelekea kuwaelemea sana Spain.Hali pia haikuwa nzuri kwa Englang licha ya mbinu zao bora kujikuta zikigonga mwambe mbele ya  waispaini na kuambulia sare ya goli 2-2
Baada ya mechi takriban 15 mshambuliaji mahiri wa Lestarcity Jamie Vard leo amafanikiwa kutikasa nyavu akifuatiwa na Adam Lalana anaekipiga Liverpool Fc.
Usikose kutimaza mechi kati ya Manchestar United vs Arsanal itakayo rushwa Live na Bongoswaggz

ITAZAME APP YA BONGOSWAGGZ INAVYOONEKA KWENYE SIMU BAADA YA KU DOWNLOAD.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.