Brazil Yapanda Nafasi ya Pili Ki Soka Duniani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Brazil Yapanda Nafasi ya Pili Ki Soka Duniani.

Timu ya soka ya wanaume ya Brazil inatarajiwa kupanda hadi kwenye nafasi ya pili kwenye viwango vipya vya mwezi huu kwenye shirikisho la soka duniani (FIFA) vinavyotarajiwa kutangazwa Novemba 24.

Imetimia wiki moja tangu Brazil walipokutana na Argentina na uwanyoosha goli 3 na kuibuka na point tatu kwenye mechi hiyo.

Hata hivyo imedaiwa kuwa timu hiyo ineweza kushika nafasi ya kwanza kwenye viwango hiyo endapo Argentina ingefungwa na timu ya taifa ya Colombia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia Jumanne ya wiki hii.
Kwa sasa Brazil inaongoza kundi la timu za bara la Amerika ya Kusini zinazowania kufuzu kwenye kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018 ikiwa na pointi 27.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.