Ben Pol: Nimeupa Thamani Kubwa Muziki wa R&B Hapa Bongo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ben Pol: Nimeupa Thamani Kubwa Muziki wa R&B Hapa Bongo.

Kama ni kitabu cha Historia kitaandikwa kuhusu maajabu yaliyowahi kufanywa kwenye muziki ni habari za Ben Pol, mtu anaeamini yeye pekee ndio aliyeupa thamani muziki wa bongo kwenye miondoko ya R&B.
Hitmaker huyo anaetamba na kibao cha Moyo Mashine ametuchana kupitia kipindi cha Clouds E cha Clouds TV na kusema kile kinachompa imani kuwa yeye ndio aliyeupa thamani mziki huo.
“Naweza kusema kuwa mimi ni msanii wa kwanza kulete muziki wa RnB uwanjani, watu walishazoea wasanii wa RnB kufanya show ukumbini tu. Kwa sasa wasanii wa RnB tunaweza kufanya show uwanjani mbele ya mashabiki zaidi ya elfu sitini hadi sabini ni kitu kikubwa. Lakini kama sitakuwa msanii wa kwanza kufanya hivyo basi nitakuwa ni miongoni mwa wasasnii waliofanya hilo likawezekana.”
Kama ni mfatiliaji mzuri wa interviews za Ben Pol amekuwa akiahidi kuachia ngoma itakayokuwa ni funga mwaka na sehemu yako sahihi ya kuipata ni hapa hapa Bongoswaggz.
Diamond Platnumz Anakuletea Perfume Yake Inaitwa 'Chibu Perfume' Itazame Hapa Chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.