Ben Pol Aitabiria Makubwa Ngoma ya 'Muziki' ya Darassa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ben Pol Aitabiria Makubwa Ngoma ya 'Muziki' ya Darassa.

Katika hali ya kibiashara katika soko la muziki hili tunaweza kusema limemgeukia mkali wa ngoma kadhaa ambazo zimekuwa hit kwa muda mrefu.

Mwanzo, Darassa alikuwa anaimba nyimbo ngumu.lakini tangu alipoamia kwenye kuchanganya vyombo zaidi amejikuta ndo sehem aliyokuwa anasubiriwa na mashabiki wengi.

'Muziki' ni ngoma mpya ya Darassa aliyomshirikisha Ben Pol, lakini Ben Pol anaitabiria makubwa zaidi ngoma hii kwa kuifanya kuwa na maudhui flani ya kiafrika na kupenda na watu wengi zaidi.
Bongoswaggz inakupa list ya ngoma tatu zilizoifungulia njia kazi yake ya muziki ki mataifa na kuwa katika nafasi pekee hapa kibongo bongo.

Darassa ft Rich Mavoko - Kama Utanipenda

Darassa - Too Much

Darassa ft Ben Pol - Muziki

Ngoma hizo tatu zimempa heshima kubwa sana na huwenda nyimbo ya muziki ikawa na milango yake mizuri kwenye soko la kimuziki.

Download application ya Bongoswaggz kwenye Playstore ili uwe wa kwanza kupata habari katika simu yako enjoy na www.bongoswaggz.comDownload App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.