Aunty Ezekiel Amshushua Wema Sepetu Mtandaoni ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aunty Ezekiel Amshushua Wema Sepetu Mtandaoni !

Majuma kadhaa tu yaliyo pita, Wema Sepetu, alionekana ku post picha nyingi kwenye account yake ya Instagram kumtakia heri ya kuzaliwa aliyekuwa shoga yake miaka ya nyuma Aunty Ezekiel.

Wengi kwenye mitandao ya kijamii wakajua kuwa tofauti zao zimeisha lakini chaajabu ni tukio lililotoeka jana pale ambapo Aunty Ezekiel alipo weka picha Instgram kumtakia heri ya kuzaliwa mmoja wa amrafiki zake na Wema Sepetu ku comment kwenye post hiyo.
Dakika kadhaa tu Aunty Ezekiel alirejea kumjibu Wema kwakumwambia aachane naye!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.