Audio: Meda Classic - kokoro remix - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Meda Classic - kokoro remix

Meda ni miongoni mwa wasanii walianza vizuri katika game ya muziki wa bongo kwa kufanya nyimbo mzuri ya barua kwa diamond.Lakini meda anaendelea kuonyesha mapenzi kwa msanii huyo na kundi zima la Wcb baada ya kuifanyia remix nyimbo mpya ya Rich mavoko na Diamond platnumz inayoitwa kikiro.

Bongoswaggz inakusogea ngoma hiyo ya meda alivyoitendea haki Kokoro ya mavoko injoy nayo hapo.

https://my.notjustok.com/track/download/id/154191

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.