Audio: Kionjo cha Wimbo wa Diamond Platnumz Ft. Neyo - Marry You - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Kionjo cha Wimbo wa Diamond Platnumz Ft. Neyo - Marry You

Wimbo mpya wa ‘Marry You’ wa Diamond aliomshirikisha Ne-Yo Ulichezwa kwa mara ya kwanza kupitia kituo cha radio cha Uingereza, Capital Xtra Radio ya nchini Uingereza.

Hiki apa ni Kionjo Cha Wimbo Huo Utakao Toka ivi Karibuni


Huu ni wimbo wa pili wa hitmaker huyo wa Salome kuchezwa nchini Uingereza baada ya wimbo wa ‘Kidogo’ kuchezwa kwenye kituo cha BBC Radio 1Xtra tangu mwezi Agosti mwaka huu.


Shilole Abadili Jina na Kujiita Shishitrump , Tazama hapa chini akifunguka.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.