Alicia Keys Ashindwa Kuficha Hisia Zake Kwa Wiz Kid Afunguka ya Moyoni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alicia Keys Ashindwa Kuficha Hisia Zake Kwa Wiz Kid Afunguka ya Moyoni.
Msanii mkongwe nchini marekani mwenye miondoko ya R&B Alicia Keys ameshidwa kuficha hisia zake alipokuwa akifanyiwa mahijiano na Ebro on Beats 1 kuhusiana na Apple Music.

Mrembo huyo ambae aliwahi husikika kwenye mahojiano na vituo kadhaa vya televison, na hakusita kummwagia sifa kedekede mwanamziki na star kutoka naijeria Wiz Kid.
Alicia Keys ameonekana kuvutiwa sana na msanii Wiz Kid na kutamani kufanya nae kolabo na mengine mengi. Chochote kile kinaweza kutokea kwa wawili hawa.

Tazama Hapa chini Alicia Keys akifunguka: 
Diamond Platnumz Anakuletea Perfume Yake Inaitwa 'Chibu Perfume' Itazame Hapa Chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.