Video: Mh. January Makamba Alivyotembelea Ofisi za WCB Wasafi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Mh. January Makamba Alivyotembelea Ofisi za WCB Wasafi.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi, muungano na mazingira Muheshimiwa January Makamba hivi karibuni aletembelea ofisi za lebo ya muziki ya WCB Wasafi zilizopo pande za Sinza Dar es Salaam ili kushuhudia ufanyaji kazi wa vijana wa lebo hiyo ambayo iko chini ya msanii Diamond Platnumz.

Itazame hii video hapa chini kucheki jinsi ilivyokuwa ofisini humo wakati Muheshimiwa January Makambaalivyotembelea ofisini hapo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.