Vanessa Mdee Aelezea Kinachochelewesha Collabo Zake na Wasanii wa Marekani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Vanessa Mdee Aelezea Kinachochelewesha Collabo Zake na Wasanii wa Marekani.

Vanessa hana haraka ya kufanya collabo na wasanii wa marekani kwasababu ya kile ambacho kimewakuta wasanii wengi wa Afrika.

“Nadhani nitawafaidisha zaidi wao zaidi ya wao kunifaidisha mimi,” Vanessa alifunguka kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
“Because hawatafanya promo ya wimbo wetu Marekani but mimi nitafanya promo ya wimbo wao huku Afrika, So I want to get to a point where kama vile Wizkid alivyofanya One Dance imewafaidisha wote wawili. So bado hatujafikia hatua ya kusema kwamba now I am going to work with, na tutafanya equal promo, haipo! What is it for kama wote hamfikii mashabiki wa wenzako, it doesn’t make any sense.”

Vee Money alitolea mfano wa wimbo wa Davido aliomshirikisha Meek Mill ‘Fans Mi’ huku rapper huyo wa Marekani akiupotezea kabisa licha ya kulipwa mamilioni.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.