ROMA Azipangua Skendo za Kuwa na Watoto Nje ya Ndoa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

ROMA Azipangua Skendo za Kuwa na Watoto Nje ya Ndoa.

Msanii Roma Mkatoliki amempa zawadi ya wimbo mtoto wake anayeitwa Ivan katika siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka minne, lakini kuna tetesi kuwa rapa huyo ana mtoto mwingine nje ya ndoa.

Ukiongelea wasanii ambao wanafanya vizuri kwa upande wa hip hop huwezi kuacha jina la Roma Mkatoliki.

eNewz ilipiga story na Roma na alisema kuwa hizo skendo hazikuanza leo kwa sababu tayari aliwahi kupata skendo ya yeye na aliyekuwa mtangazaji wa kipind cha TV cha Nirvana, Lotus Kyamba kuwa mtoto aliyenaye ni wa kwake licha ya kwamba siyo kweli na kwamba yeye ana mtoto mmaja pekee ambaye ni Ivan.

“Mimi kiukweli nina mtoto mmoja tu wa kiume ambaye ni Ivan na hizo story za mimi kuwa na mtoto nje zipo niliwahi kuambiwa nina mtoto na lotus kumbe siyo kweli na huwa sipendi kuziongelea sana kwa sababu mimi nina mke wangu na nina mtoto mmoja tu ambaye ni Ivan”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.