Picha: Msanii Linah Amweka Wazi Mpenzi Wake Mpya. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Msanii Linah Amweka Wazi Mpenzi Wake Mpya.

Bet Sasa
Mwanamuziki Linah siku ya jana amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kumweka wazi rasmi mpenzi wake mpya.

Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya:

"Penzi si kama nyanya itokayo sokoni, nipe penzi mwanana niliote ndotoni i love u cheusi wangu, Mara moja moja, Raha jipe mwenyewe"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.