Mwana FA Kuja na Collabo Mpya na Vanessa Mdee Hivi Karibuni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwana FA Kuja na Collabo Mpya na Vanessa Mdee Hivi Karibuni.

Huenda cngoma inayofata ya Mwana FA ikawa ni collabo na mwanadada Vanessa Mdee.

Mtangazaji wa kipindi cha Ngazi kwa Ngazi, Salama Jabir ndio alitoa taarifa hizo za chini ya carpet,

“Mwana FA hivi karibuni atatuletea dude lake moja hivi, natoa za chini ya carpet amemshirikisha Vee Money, litakuwa linaitwaa, atakwambia mwenyewe asije akanikaba bure, na hivi siku hizi anaenda gym me sitaki matatizo na watu wengine..”

Ngoma ya mwisho ya Mwana FA ilikuwa Asanteni kwa kuja.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.