Lowassa na Jakaya Kikwete Uso Kwa Uso. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Lowassa na Jakaya Kikwete Uso Kwa Uso.

Hatimae leo Msiba wa Masaburi umewakutanisha Lowassa na Kikwete. Kinyume na matarajio ya Wengi kwamba wawili hawa hawaongei kutokana na bifu zao za kisiasa lakini walipo kutana wamekumbatiana wamecheka kwa bashasha sana bila shaka kesho magazeti mengi yatauza picha yao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.