Kim Kardashian Azuiliwa na Watu Wenye Silaha Paris - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kim Kardashian Azuiliwa na Watu Wenye Silaha Paris

Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian alishambuliwa na kuzuiliwa na watu waliokuwa na silaha katika hoteli moja mjini Paris, taarifa zinasema.

Msemaji wake anasema nyota huyo wa uigizaji wa vipindi vya maisha ya uhalisia alizuiliwa na watu waliokuwa wamejifanya maafisa wa polisi.

"Ameshtushwa sana na tukio hilo lakini hajaumizwa," msemaji wake amesema.

Mumewe Kanye West amekatiza ghafla tamasha ambayo amekuwa akishiriki mjini New York.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.