Huddah Monroe Amtamani Raymond, Afunguka haya Kuonyesha Hisia Zake za Kumpata ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huddah Monroe Amtamani Raymond, Afunguka haya Kuonyesha Hisia Zake za Kumpata !

Huddah Monroe

Inaonekana kama The Boss chick wa Kenya, Huddah Monroe ameanza kudondosha mate kumtamani staa kutoka WCB, Raymond (Rayvan) baada ya kutupia comment ya ya kuonyesha dalili hizo zote kwenye picha aliyo post Rayvan.Picha aliyopost Rayvana nakisha Huddah Monroe kuja ku comment kuhusu hisia zake.

Rayvan kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka picha hiyo hapo juu akiwa ameandika “Unahisi nini kimefanya nizubae???“, Pasipo kendana na kile ambacho kimeulizwa kwenye picha hiyo, The Boss chick, Huddah Monroe alitupia comment yake nakuandika “Ukipata hela nyingi utakuwa mzuri sana….. I’ll be waiting ” kitu kilicho ashiria kwa asilimia kubwa kuwa amemdondoshea mate.Huddah Monroe akiwa na Harmonize kwenye pozi la kimahaba.

Miaka ya nyuma tetesi zilisha vuma kuwa Huddah Monroe alishwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii kutoka WCB, Harmonize japokuwa wote walikanusha huku video na picha zikiwaonyesha wakiwa kwenye pozi la kimahaba.

Unadhani Rayvan akiwa na Huddah Monroe watapendezea ?

Niwekee maoni yako hapo chini mdau.


-tubongetz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.