Hii Ndiyo Sababu Kuu Inayomfanya Mwanamuziki Diamond Asishiriki Fiesta 2016. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndiyo Sababu Kuu Inayomfanya Mwanamuziki Diamond Asishiriki Fiesta 2016.

Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta 2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa ndoa (mkataba) yake na Kampuni ya mawasiliano ya Simu ya Vodacom ndio sababu inayomfanya asishiriki Fiesta mwaka huu.
Wadhamini wakuu wa Fiesta ni Tigo hivyo kufanya hivyo kungeleta mgongano wa maslahii.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.