Hawa Ndio Wasanii 3 Ambao Lulu Anawakubali Kwenye Bongo Fleva. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hawa Ndio Wasanii 3 Ambao Lulu Anawakubali Kwenye Bongo Fleva.

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth Michael aka Lulu amewataja wasanii watatu anaowakubali kwenye muziki wa Bongo Fleva.

Muigizaji huyo alikuwa akijibu swali la mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter, lililokuwa linauliza “wasanii gani watatu anaowakubali kwenye Bongo Fleva?”

Lulu alijibu swali hilo kwa kuandika, “Beka, Maua Sama na Alikiba.”

Lulu aliongeza kwa kuzitaja nyimbo anazozikubali ni pamoja na ‘Ado Ado’ wa Mo Music, ‘Wale Wale’ wa Ruby, ‘Hapo’ wa Quick Rocka na ‘Asanteni Kwa Kuja’ wa Mwana FA.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.