Diamond: Wimbo Unaofata wa Rich Mavoko Inawezekana Ikawa Collabo na Msanii wa Nigeria au Mimi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond: Wimbo Unaofata wa Rich Mavoko Inawezekana Ikawa Collabo na Msanii wa Nigeria au Mimi.

Diamond ameongelea project inayofata ya msanii wake kutoka WCB, Rich Mavoko.

Akizungumza kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Diamond amesema wimbo unaofata wa Rich Mavoko inawezekana ikawa collabo na msanii wa Nigeria au na yeye

“Rich ni msanii nnaye mkubali na inawezekana wimbo unaofata ya kwakwe akawa amenishirikisha mimi au akawa amemshirikisha msanii kutoka Nigeria” Diamond ALIFUNGUKA.

Pia muimbaji huyo wa ‘Salome’ amesema kuwa anavutiwa zaidi na uwezo wa uandishi wa mashairi wa Rich Mavoko. 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.