Barnaba Asema Ana Album 13 Ndani na Zote ni Moto wa Kuotea Mbali. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barnaba Asema Ana Album 13 Ndani na Zote ni Moto wa Kuotea Mbali.

Ukibahatika kuingia kwenye store ya muziki ya Barnaba utakutana na album zake 13 mpya zinasubiri kutoka.

“Kwenye Stock yangu nina Album kama 13 ivi kwa haraka haraka Na kila nikipekua naona chuma kimebebana na chuma” Barnaba ameandika kwenye Instagram.

“Lakini najaribu kuangalia Album yangu Ya 8/8 naona kama imezidi Vyuma Vyote na inaitaji Nafasi Ya masikio Ya wengi Sijui nipeleke sijui muda ndo bado Mana ilibidi Itoke tangu mwezi 8 tarehe 8 mwaka huu /na ina nyimbo 8 ambazo sidhani kama unaweza Peleka wimbo mbele …!!!”

Barnaba kwasasa anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Lover Boy’

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.