Audio: Davido - Gbagbe Oshi | Download - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Davido - Gbagbe Oshi | Download

Baada ya kimya cha mwaka mmoja bila ya kuachia wimbo mpya mwanamuziki Davido kutoka Nigeria ameachia wimbo wake mpya ‘Gbagbe Oshi’ ambao utapatikana kwenye albamu yake ya ‘Son of Mercy’ inayotarajiwa kuanza kupatika kwa pre order Ijumaa hii. Sikiliza hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.