Alikiba Aikana Nyumba Inayoonyeshwa Kwenye Mitandao Kuwa ni Yake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Alikiba Aikana Nyumba Inayoonyeshwa Kwenye Mitandao Kuwa ni Yake.

Alikiba aikana nyumba inayoonekana mitandaoni wakisema ni yake, hii ni alipokua akihojiwa kwenye moja ya radio maarufu nchini.

"Aliyekwambia mi Nina nyumba nani, naishi nyumba ya kupanga hata ingekuwa yangu mi sipendi show off ni maisha yangu" alisema.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.