Zari Atoa Ujumbe Tata Wenye Kulenga Mtu Gizani. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari Atoa Ujumbe Tata Wenye Kulenga Mtu Gizani.

Mama Tiffah ameendelea kula good time na mpenzi wake Diamond Platnumz huku akitupa vijembe kizani kwa wanawake wanaopenda kunyakuwa waume za watu.

Zari ambaye kwa sasa ana mimba ya Diamond, ameonyesha kuchukizwa na baadhi ya watu ambao wanamendea waume za watu.

“Watu na bae zetu, nyaku nyaku can’t even post their own. Told you, if he can’t claim you in public, don’t give him the good good in private. U know what that means right & I bet u know where that leaves you. Tag your bae and wish him or her a good night. #ToWhomItMayConcern,” aliandika Zari instagram katika picha ambayo yupo na Diamond.

Katika post nyingine aliongeza, “Dunia hii kwa kuwa hatuijui kesho, inabidi tujifunze kuheshimu watu ambao pamoja nasi. Watu ambao wapo tayari kusimama kwaajili yetu kwa lolote lile. Natukaacha kuwapa kupaumbele watu ambao ni wapita njia (wa kupita njia) tu katika maisha yetu, au ambao wamekuwepo lakini hawajawahi kuchangia au kuwa na msaada wowote kwenye mafanikio yetu,”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.