Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda Walipokutana Kwenye Basi la Fiesta. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Walichofanyiana Shilole na Nuh Mziwanda Walipokutana Kwenye Basi la Fiesta.

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, pengine watarudiana.

Angalia video hapa chini:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.