Picha: Diamond Aonesha Mjengo Wake wa Afrika Kusini na Ujumbe wa Birthday kwa Zari. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Diamond Aonesha Mjengo Wake wa Afrika Kusini na Ujumbe wa Birthday kwa Zari.

Akiwa anasherehekea siku ya birthday ya mama watoto wake Zari, mkali wa ‘Salome’ Diamond ameonesha mjengo wa familia alionunua Afrika kusini.
“Wanakazana kujisifu matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga. Halafu leo yule yule wanaemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa masikini, kajawa na shida, Kanunua nyumba kulekule kwao ili watoto wao waishi maisha bora kama wanayoyatamani.”Diamond ameandika instagram “Heri ya siku ya Kuzaliwa Mama tee wangu. Nakupenda sana na unalifahamu hilo, natumai umeipenda nyumba yetu hii mpya South Africa. Nasubiria kwa hamu kusheherekea nawe siku yako hii kubwa kesho (leo) Zanzibar,”

Hatahivyo hajasema mjengo huo umegharimu kiasi gani.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.