Napenda Ngono na Siwezi Kudumu na Mwanamke Mmoja, Nifanyeje ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Napenda Ngono na Siwezi Kudumu na Mwanamke Mmoja, Nifanyeje ?

Kila mmoja angependa kuwa na mwenza wa kudumu naye maisha,ila kwangu imekuwa ni tofauti kabisa,kwanza napenda sana ngono kuliko kitu chochote,kwa wiki nafanya ngono hata siku 5 au zote 7.

Pili na hili ni kubwa zaidi na la hatari ni kwamba sidumu na mwanamke kamwe,huwa kuwa na mwanamke mmoja kwa muda mrefu huwa nachoka na siwezi,mwanamke nikishamfunua tu basi namchukia na nakuwa simtaki tena na natafuta mwingine,nawapata tu kwasababu kumbuka wadada wa siku hizi ni cheap.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.