Mwalimu Azua Gumzo Kwa Mavazi na Uzuri Alionao, Wazazi wa Wanafunzi Wapagawa (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwalimu Azua Gumzo Kwa Mavazi na Uzuri Alionao, Wazazi wa Wanafunzi Wapagawa (Picha)

Mwalimu wa Shule moja mjini Atlanta nchini Marekani aitwae Patrice Brown, amezua gumzo mitandaoni kuzua mabishano makali kulingana na mvuto wa Umbo lake na aina ya mavazi anayovaa kama ni maadili ya taaluma hiyo.
Msichana huyo mwenye Followers zaidi ya laki kwenye mtandao wa Instagram, ametajwa kama ndiye mwalimu mrembo zaidi mjini Atlanta.
Wazazi wenye watoto wanaosoma katika shule anayofundisha Mwalimu huyo, wamedai mara nyingi huamsha ‘Hisia’ wamuonapo.
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.