List Mpya ya Wasanii wa Hiphop Matajiri Zaidi Imetoka, Nani Anaongoza ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

List Mpya ya Wasanii wa Hiphop Matajiri Zaidi Imetoka, Nani Anaongoza ?

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wasanii matajiri zaidi duniani wanaofanya muziki wa Hip-Hop yani Forbes Hip-Hop Cash Kings.

Puff Daddy anaongoza namba moja kupitia biashara kama kinywaji cha Ciroc,

Jay Z anashika namba mbili kwapesa nyingi zikiwa zinatoka kwenye lebo yake ya Roc Nation, tovuti ya muziki ya TIDAL, Armand de Brignac champagne, na D’Ussé cognac.

Dr. Dre anashika namba tatu kutokana na mkwanja wa Beats by Dre na Apple, pamoja na filamu ya N.W.A > Straight Outta Compton.


Hii ndio orodha kamili

Hip-Hop Cash Kings 2016

1. Diddy – $62 million

2. Jay Z – $53.5 million

3. Dr. Dre – $41 million

4. Drake – $38.5 million

5. Wiz Khalifa – $24 million

6. Nicki Minaj – $20.5 million

7. Pitbull – $20 million

8. Pharrell Williams – $19.5 million

9. Kendrick Lamar – $18.5 million

10. Birdman – $18 million

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.