Kanye West Athibitisha Kuwa D’banj Bado Yupo G.O.O.D Music - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kanye West Athibitisha Kuwa D’banj Bado Yupo G.O.O.D Music

Kanye West amejibu swali lililo kosa jibu kwa muda mrefu, iwapo staa wa muziki wa Afrika D’banj bado yupo chini ya label ya G.O.O.D Music au la.

Tangu asaini mkataba na label hiyo miaka mitano iliyopita, D’banj alionekana akiwa karibu na wasanii wa label hiyo kwa siku za mwanzo tu lakini baadae akawa kimya huku akiendelea kutoa kazi zake kimpango wake, iliyopelekea kuibuka kwa swali lililokosa jibu kwa muda mrefu, iwapo bado yupo chini ya label hiyo au la.
Kanye west ametoa orodha ya majina ya wasanii waliopo chini ya label hiyo and Yes, D’banj bado ni member wa G.O.O.D Music.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.