DJ Khaled Kusherehesha Kwenye Tuzo Za BET Hip Hop Awards 2016 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

DJ Khaled Kusherehesha Kwenye Tuzo Za BET Hip Hop Awards 2016

​Kutoka kusherehesha utangulizi wa MTV Video Music Awards, Dj Khaled sasa anatarajiwa kusherehesha tena (host) BET Hip-Hop Awards 2016.

Mkuu wa vipindi wa BET, Stephen Hill, alitoa tangazo hilo kupitia Snapchat na Khaled amekubali kwa moyo mmoja
.
“They didnt want me to host the 2016 @bet Hip Hop Awards!! So guess what?? Im your host!! Tune in Oct 4th!! 8pm/7c #HipHopAwards #WeTheBest We have a lot of surprises!!!! Be ready! aliandika Khaled kwenye Instagram.

Pamoja na kuwa host, Khaled anawania tuzo nane zikiwemo DJ of the Year, MVP of the Year, na Hustler of the Year.

Show hiyo itarekodiwa Sept. 17 huko Cobb Energy Performing Arts Centre, Atlanta, lakini itarushwa kwenye runinga, Oct. 4.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.