Crazy GK: Sifanyi Show Bongo Chini ya Shilingi Milion 30 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Crazy GK: Sifanyi Show Bongo Chini ya Shilingi Milion 30


Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...Diamond, Rayvany, Harmonize, Navykenzo, Alikiba Wasemeje? na wakali wengine wanaotingisha katika anga ya muziki redioni kwa sasa?

Duh! Mwana umechemka hapa. Swali ni kua are you worth 30 million kaka mkubwa ?? katika zama hizi ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.