Baraka Da Prince na Alikiba Kuiachia Ngoma Mpya “Nisamehe” Jumanne Hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Baraka Da Prince na Alikiba Kuiachia Ngoma Mpya “Nisamehe” Jumanne Hii

Vichwa viwili kutoka Rockstar 4000 vimekaa na kutengeneza ngoma ya pamoja ambayo wameipa jina la “Nisamehe”.

Ni Baraka Da Prince na Alikiba, ikiwa ngoma hiyo ilikuwa imesubiriwa kwa muda mrefu sasa ni official imetangazwa tarehe rasmi ya kutoka ngoma hiyo.

Hapo awali Baraka Da Prince alitangaza kuwa ngoma hiyo ilitakiwa kutoka siku ya wawili walipo perform kwenye jukwaa la Fiesta mkoani Mwanza lakini mambo yalikwenda tofauti na hivyo hapo jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Baraka Da Prince ameweza kutangaza kuwa Jumanne ya Tarehe 13 ndio siku rasmi ya kutoka kwa ngoma hiyo.


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.