Audio: King Crazy GK – Mzuri Pesa | Download - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: King Crazy GK – Mzuri Pesa | Download

Muziki umekuwa Biashara, na siku zote huwa naamini hakuna biashara rahisi. Ili biashara ilete mafanikio ni lazima uitengeneze kwa ubunifu wa hali ya juu ili iweze kuwavutia wengi na mwisho wa siku kukuletea faida.

Ndivyo ilivyo katika muziki wa Bongo Fleva, tumeshuhudia mabadiliko mengi sana katika muziki na leo hii tunamshuhudia aliyekuwa akikomesha kinoma noma enzi zile kwa Punch lines kali na kutengeneza maana halisi ya muziki wa rap leo anatembea kwenye beat laini yenye mahadhi flani hivi ya Afro Pop na lengo likiwa ni lilelile la kutoa burudani.

Yote ni kutokana na mabadiliko ya soko la muziki kwasasa ndio maana King Crazy GK akaamua kuileta hii “Mzuri Pesa”. Enjoy nayo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.