Zlatan Ibrahimovic Aipa Ushindi Manchester United. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zlatan Ibrahimovic Aipa Ushindi Manchester United.

Ligi Kuu England iliendelea usiku wa August 19 kwa klabu ya Manchester United kuwakabribisha Southampton katika dimba lao la Old Trafford kucheza mchezo wao wa pili wa baada ya mchezo wao wa awali kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth ugenini.
Zlatan lifunga goli la kwanza baada ya kupokea krosi maridhawa kutoka upande wa kulia na Wayne Rooney baadae tena Zlatan alifunga bao la pili kwa njia ya penati baada ya beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw kufanyiwa madhambi na Jordy Clasie na mechi hiyo kumalizika kwa Man United kupata ushindi wa 2-0.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.