Zlatan Ibrahimovic Ahama Hoteli ya Manchester United Kwa Sababu Haina Bwawa la Kuogolea. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zlatan Ibrahimovic Ahama Hoteli ya Manchester United Kwa Sababu Haina Bwawa la Kuogolea.

Zlatan Ibrahimovic ameondoka kwenye hotel inayotumiwa zaidi na Manchester United kwa sababu haina bwawa la kuogolea.

Nyota huyo wa Sweden amehama na familia yake kutoka kwenye hotel hiyo ya nyota tano – Lowry Hotel ambayo hutumiwa na United inapojiandaa na mechi ya nyumbani na badala yake amehamia Radisson Blu inayotumiwa zaidi na Manchester City.

Sababu ya msingi ya hatua hiyo ya Ibrahimovic ni kukosekana kwa swimming pool Lowry Hotel.

Zlatan Ibrahimovic

Vitu vya Zlatan Ibrahimovic vikihamishwa

Bwawa la kuogelea linalipatikana Radisson Blu hotel katikati ya jiji la Manchester

Ibrahimovic ameondoka Lowry hotel

Radisson Blu makazi mapya ya Ibrahimovic

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.