Video: Diamond Platnumz Afunguka Undani Kuhusu Hamisa Mobetto. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Diamond Platnumz Afunguka Undani Kuhusu Hamisa Mobetto.


Mtu wangu kama unafuatilia mitandao ya kijamii ya wasanii wa Bongo flevani nadhani hii utakuwa ushakutana nayo kuhusu uvumi wa Star wa Bongo fleva Diamond Platnumzkuhusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo wa Bongo Hamisa Mobetto.
Stori hii ilianzia kwenye birthday ya mama wa Diamond Platnumz baada ya hamisa kuonekana kuwa karibu na familia hiyo hasa dada wa Diamond na picha iliyozagaa ya hivi karibuni aliyopiga Diamond Platnumz akiwa South Afrika kwenye chumba kinachofanana na picha aliyopiga mwanamitindo huyo.Leo August 2 2016 kupitia kipindi cha Leo tena cha Clouds FM Diamond Platnumz ametolea ufafanuzi juu wa uvumi huo unaomuhusisha kuwa na mahusiano na mwanamitindo Hamisa Mobetto.
Diamond Platnumz ameongea haya kuhusu skendo hii> “Hamisa nimeanza kumjua zamani sana kwasababu yupo katika industry hizi za kufanya fashion na nini, kwahiyo nimekua nikimjua muda mrefu kidogo na sikuwahi kuwa na matatizo nae yoyote sababu, tumekuwa ni watu tu ambao tunaheshimiana …..”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.