Vera Sidika Anamsikiliza Nani Kati ya Diamond na Alikiba ? Jibu Lipo Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Vera Sidika Anamsikiliza Nani Kati ya Diamond na Alikiba ? Jibu Lipo Hapa

Mrembo wa Kenya, Vera Sidika amejibu swali la ni nyimbo za msanii yupi anazozisikiliza zaidi kati ya Diamond na Alikiba.
“Mimi namsikiliza Diamond,” anasema Vera. “Style yake tofauti kisha nzuri, kisha naona kuwa amejikakamua anatoa hits after hits hatulii, yeye hutia bidii kila siku. Halafu pia si muziki peke yake, ameweza kusaidia vijana kuwapatia nafasi ya ku-explore talent zao, kama sasa hivi yuko na artists ambao wako chini yake which is a good thing,” ameongeza.
Vera amedai pia kuwa anampenda Diamond kwasababu ni baba mzuri na anayetimiza majukumu yake.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.