Shilole Amuonyesha Mpenzi Wake Mpya Kistaili - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shilole Amuonyesha Mpenzi Wake Mpya Kistaili

Baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Shilole aliamua kukaaa muda kabla ya kumtambulisha mpenzi mpya..Siku ya leo zimezagaa picha mbali mbali ambazo zinaonyesha Shilole na Mwanaume ajulikanaye kama Hamadai wakiwa chumbani faragha ikimaanisha wenyewe ndio wameamua zitoke mtandaoni na kuanzia sasa penzi lao si siri tena.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.