Selena Gomez Ajutia Kumtukana Justin Bieber Mtandaoni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Selena Gomez Ajutia Kumtukana Justin Bieber Mtandaoni.

Wiki hii Bieber alilazimika kuifuta akaunti yake ya Instagram yenye followers, milioni 77.8 kutokana na maneno ya mashabiki waliokuwa wakimshambulia mpenzi wake, Sofia Richie. Lakini kubwa zaidi ni kutoka kusikojulikana kwa ex wake, Selena Gomez alimshambulia kwa kuandika:

“If you can’t handle the hate then stop posting pictures of your girlfriend lol – it should be special between you two only. Don’t be mad at your fans. They love you.”

“Funny how the ones that cheated multiple times, are pointing the finger at the ones that were forgiving and supportive, no wonder fans are mad. Sad. All love,” ulikuwa ni ujumbe mwingine wa Selana baada ya Bieber kujibu mashambulizi.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Justin Bieber aliyezungumza na TMZ, Selena amekuwa akimtafuta muimbaji huyo tangu walipotupiana maneno hayo mtandaoni lakini Bieber amekuwa akikataa kuongea naye.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.