RC Makonda: Polisi Mkiwakamata Wahalifu Wapigeni Bila Huruma, Watakaohoji Waje Kwangu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

RC Makonda: Polisi Mkiwakamata Wahalifu Wapigeni Bila Huruma, Watakaohoji Waje Kwangu

Jana Mh. Paul Makonda mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na polisi yeye ndio atajibu.
Je, Sheria inasemaje kwa mhalifu nini umuhimu wa mahakama na vyombo vya kisheria nchini ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.