Ray C Arudi Mitandaoni Na Jumbe Zito, Ajipoza na ‘Dunia Njia’ ya Bushoke - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ray C Arudi Mitandaoni Na Jumbe Zito, Ajipoza na ‘Dunia Njia’ ya Bushoke

Msanii wa muziki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya na baadae kupelekwa rehab, wiki hii amerudi kwenye mitandao ya kijamii kwa style ya aina yake.
Muimbaji huyo ambaye aliwai kutamba na wimbo ‘Na Wewe Milele’ ameshare ujumbe mbalimbali kupitia mtandao wake wa instagram pamoja na video ya Bushoke ya wimbo ‘Dunia Njia’.
Ray C amerudi kwenye mitandao kwa posti hizi tatu.


Ujumbe wa pili wa Ray C

Ujumbe wa tatu wa Ray C

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.