Prof. Lipumba Adai Bado Yeye ni Mwenyekiti wa CUF Baada ya Kutengua Maamuzi ya Kujiuzulu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Prof. Lipumba Adai Bado Yeye ni Mwenyekiti wa CUF Baada ya Kutengua Maamuzi ya Kujiuzulu.

Prof. Lipumba amesema yeye bado ni Mwenyekiti wa CUF na alishatengua maamuzi ya kujiuzulu, hakitambui kikao kilichokaa Zanzibar na kusitisha uanachama wake.

Amesema kuwa Katibu Mkuu asipotaja tarehe ya yeye kurejea kazini kama Mwenyekiti, atasubiri barua ya Msajili wa Vyama ili aanze kazi tena kama Mwenyekiti wa Taifa wa CUF.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.