Picha/ Video: Man United Walivyo Shinda Ngao ya Jamii. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha/ Video: Man United Walivyo Shinda Ngao ya Jamii.

36FA212200000578-3728057-image-a-82_1470590540074
Kabla ya Ligi Kuu England kuanza huwa kuna mchezo wa ngao ya jamii, mchezo ambao huzikutanisha timu Bingwa wa Ligi Kuu na Bingwa wa Kombe la FA, mechi hiyo ilichezwa August 7 2016 England katika uwanja wa Wembley Leicester City ambaye ni Bingwa wa EPL na Man United ambaye ni bingwa wa FA walikutana.
Jesse Lingard aliifungia United bao la kuongoza kabla ya mapumziko.
Leicester City walisawazisha kupitia Jamie Vardy, Baadae Zlatan Ibrahimovic dakika ya 83 alifunga goli la ushindi na kuipa ubingwa wa Ngao ya Hisani.
36FA222700000578-3728057-image-a-77_1470590473784
36FABCAF00000578-0-image-a-12_1470607425060
36FAD30600000578-0-image-a-6_1470606995853
Video ya Magoli

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.