Nicki Minaj na Meek Mill Hawajamwagana, Penzi Lanoga Zaidi. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nicki Minaj na Meek Mill Hawajamwagana, Penzi Lanoga Zaidi.

Rapa Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj wamezima uvumi kuwa wametengana kwa kutangaza rasmi kuhamia kwenye nyumba moja huko Beverly Hills.

Kwa mujibu wa TMZ,nyumba hii kwenye mitaa ya matajiri itawagharimu dola $30,000 kwa mwezi, Mpaka sasa nimepata taarifa kuwa nyumba hio ina vyumba 9 ,mabafu 8 ,sehemu ya kuegesha amagari matano.

Meek Mill na Nicki Minaj walikuwa na mpango wa kuhamia pamoja mjini Los Angeles kabla Meek hajafungwa kifungo cha ndani.

Meek anaelekea kutoa mixtape yake ya DC4

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.