Ngoma Mpya ya Alikiba Itakuwa Na Jina Hili Au Nini Kinakuja ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ngoma Mpya ya Alikiba Itakuwa Na Jina Hili Au Nini Kinakuja ?

Alikiba akiwa na warembo watakaoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya.

Baada ya kuonjesha kile ambacho tutakiona kwenye video ya ngoma yake mpya, Alikiba anaweza akawa ametupa jina la wimbo huo.

Mkali huyo wa Aje, ameanza kutumia neno #Kajiandae kwenye post zake mpya, huku kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa likawa ndio jina la ngoma hiyo.

Hata hivyo bado haijulikani iwapo Kiba alienda Afrika Kusini kushoot video mbili au moja kwasababu hivi karibuni alidai kuwa alishoot video ya version ya Aje akiwa na rapper wa Nigeria, M.I.

Yeye pamoja na msanii mwenzake wa Rockstar4000, Barakah Da Prince walikuwa nchini humo kushoot video zao mpya.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.