Mwanaume Anaemzuzua Mwanadada Shamsa Ford Kimapenzi Kwa Sasa Ni Huyu Hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanaume Anaemzuzua Mwanadada Shamsa Ford Kimapenzi Kwa Sasa Ni Huyu Hapa.

Mfanyabiashara wa nguo ‘Chidi Mapenzi’ yupo mbioni kufunga ndoa na mwigizaji Shamsa Ford baada ya hivi karibuni kumtolea barua mrembo huyo.

Muigizaji huyo alikaririwa na gazeti la Mtanzania akisema kwamba licha ya kupita katika changamoto za wapenzi wengi, mpenzi wake huyo wa sasa ndiye aliyeonyesha ushawishi wa hadi kutaka kumuoa.

“Kwa hatua hii najivunia, hadi mwanaume akushawishi muoane huyo ana nia njema na heshima kwangu,” alisema Shamsa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.