Mapenzi ya Drake Kwa Rihanna Kwa Sasa ni ya 'Mwendo Kasi', Ona Alichofanya Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mapenzi ya Drake Kwa Rihanna Kwa Sasa ni ya 'Mwendo Kasi', Ona Alichofanya Hapa

Drake anazidi kuonyesha mapenzi kwa Rnb staa Rihanna, This time jamaa kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi kwa RIRI kwenye tuzo za MTV Video Music Awards.
Bango limeandikwa “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,”
Rihanna alijibu ujumbe huu kwa kuandika When he extra ❤????!!!.
Drake na Rihanna wametajwa kurudiana zaidi ya mara moja ndani ya hii miezi miwili.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.