Kim Kardashian Arudisha Mtindo Wa Mavazi Wa Kizamani Kwenye Fasheni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kim Kardashian Arudisha Mtindo Wa Mavazi Wa Kizamani Kwenye Fasheni.

Ulikuwa mtindo wa zamani sana wa kuvaa mkanda mkubwa kwenye kiuno na nguo fupi ila kwa sasa ndio mtindo unaopewa umaarufu mkubwa na mwanamitindo Kim Kardashian West.

Mrs. West alionekana kwneye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya mdogo wake Kylie Jenner weekend hii na hizi picha zingine akiwa kwenye matukio tofauti.


Wewe Unaonaje Staili Hii ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.